1
Zaburi 58:11
Neno: Bibilia Takatifu
Ndipo wanadamu watasema, “Hakika utulivu wa wenye haki bado una thawabu, hakika kuna Mungu ahukumuye dunia.”
Linganisha
Chunguza Zaburi 58:11
2
Zaburi 58:3
Waovu ni wapotovu tangu kuzaliwa kwao, toka tumboni mwa mama zao ni wakaidi na husema uongo.
Chunguza Zaburi 58:3
3
Zaburi 58:1-2
Enyi watawala, je, kweli mwanena kwa haki? Je, mnahukumu kwa unyofu miongoni mwa watu? La, mioyoni mwenu mnatunga udhalimu, na mikono yenu hupima jeuri duniani.
Chunguza Zaburi 58:1-2
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video