Zaburi 58:1-2
Zaburi 58:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Enyi watawala, je, mwahukumu kwa haki kweli? Je, mnawahukumu watu kwa adili? La! Nyinyi mwafikiria tu kutenda maovu; nyinyi wenyewe mwaeneza dhuluma nchini.
Shirikisha
Soma Zaburi 58Zaburi 58:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni kweli, enyi wakuu, mnanena haki? Enyi wanadamu, mnahukumu kwa adili? Sivyo! Mioyoni mwenu mnatenda maovu; Mikono yenu wenyewe inaeneza udhalimu katika nchi.
Shirikisha
Soma Zaburi 58