1
Zaburi 24:1
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Dunia ni mali ya Mwenyezi Mungu, na vyote vilivyomo, ulimwengu, na wote wanaoishi ndani yake
Linganisha
Chunguza Zaburi 24:1
2
Zaburi 24:10
Ni nani yeye, huyu Mfalme wa utukufu? Ni Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni; yeye ndiye Mfalme wa utukufu.
Chunguza Zaburi 24:10
3
Zaburi 24:3-4
Nani awezaye kuupanda mlima wa Mwenyezi Mungu? Ni nani awezaye kusimama patakatifu pake? Ni yule mwenye mikono safi na moyo mweupe, yule ambaye hakuinulia sanamu nafsi yake au kuapa kwa kitu cha uongo.
Chunguza Zaburi 24:3-4
4
Zaburi 24:8
Ni nani huyu Mfalme wa utukufu? Ni Mwenyezi Mungu aliye na nguvu na uweza, ni Mwenyezi Mungu aliye hodari katika vita.
Chunguza Zaburi 24:8
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video