1
Zaburi 23:4
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Hata nikipita katikati ya bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya, kwa maana wewe upo pamoja nami; fimbo yako na mkongojo wako vyanifariji.
Linganisha
Chunguza Zaburi 23:4
2
Zaburi 23:1
Mwenyezi Mungu ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu.
Chunguza Zaburi 23:1
3
Zaburi 23:6
Hakika wema na upendo vitanifuata siku zote za maisha yangu, nami nitakaa nyumbani mwa Mwenyezi Mungu milele.
Chunguza Zaburi 23:6
4
Zaburi 23:2-3
Hunilaza katika malisho ya majani mabichi, kando ya maji matulivu huniongoza, hunihuisha nafsi yangu. Huniongoza katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
Chunguza Zaburi 23:2-3
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video