1
Mithali 5:21
Neno: Bibilia Takatifu
Kwa maana njia za mtu ni wazi kabisa mbele za BWANA, naye huyapima mapito yake yote.
Linganisha
Chunguza Mithali 5:21
2
Mithali 5:15
Kunywa maji kutoka kwenye kisima chako mwenyewe, maji yanayotiririka kutoka kwenye kisima chako mwenyewe.
Chunguza Mithali 5:15
3
Mithali 5:22
Matendo mabaya ya mtu mwovu humnasa yeye mwenyewe; kamba za dhambi yake humkamata kwa nguvu.
Chunguza Mithali 5:22
4
Mithali 5:3-4
Kwa maana midomo ya mwanamke kahaba hudondoza asali, na maneno ya kinywa chake ni laini kuliko mafuta; lakini mwisho wake ni mchungu kama nyongo, mkali kama upanga ukatao kuwili.
Chunguza Mithali 5:3-4
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video