1
Mithali 22:6
Neno: Bibilia Takatifu
Mfundishe mtoto njia impasayo kuiendea, naye hataiacha hata akiwa mzee.
Linganisha
Chunguza Mithali 22:6
2
Mithali 22:4
Unyenyekevu na kumcha BWANA huleta utajiri, heshima na uzima.
Chunguza Mithali 22:4
3
Mithali 22:1
Heri kuchagua jina jema kuliko utajiri mwingi, kuheshimiwa ni bora kuliko fedha au dhahabu.
Chunguza Mithali 22:1
4
Mithali 22:24
Usifanye urafiki na mtu mwenye hasira ya haraka, usishirikiane na yule aliye mwepesi kukasirika
Chunguza Mithali 22:24
5
Mithali 22:9
Mtu mkarimu yeye mwenyewe atabarikiwa kwa kuwa hushiriki chakula chake na maskini.
Chunguza Mithali 22:9
6
Mithali 22:3
Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha, bali mjinga huendelea mbele kama kipofu nayo ikamtesa.
Chunguza Mithali 22:3
7
Mithali 22:7
Matajiri huwatawala maskini naye akopaye ni mtumwa wa akopeshaye.
Chunguza Mithali 22:7
8
Mithali 22:2
Tajiri na maskini wanafanana kwa hili: BWANA ni Muumba wao wote.
Chunguza Mithali 22:2
9
Mithali 22:22-23
Usiwadhulumu maskini kwa sababu ni maskini, wala kumdhulumu mhitaji mahakamani, kwa sababu BWANA atalichukua shauri lao naye atawateka wao waliowateka.
Chunguza Mithali 22:22-23
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video