Methali 22:6
Methali 22:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfunze mtoto namna ya kuishi vizuri, naye hatasahau njia hiyo hata uzeeni.
Shirikisha
Soma Methali 22Methali 22:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.
Shirikisha
Soma Methali 22Methali 22:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.
Shirikisha
Soma Methali 22