1
Hesabu 6:24-26
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
“ ‘ “Mwenyezi Mungu akubariki na kukulinda; Mwenyezi Mungu akuangazie nuru ya uso wake na kukufadhili; Mwenyezi Mungu akugeuzie uso wake na kukupa amani.” ’
Linganisha
Chunguza Hesabu 6:24-26
2
Hesabu 6:27
“Hivyo wataliweka Jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.”
Chunguza Hesabu 6:27
3
Hesabu 6:23
“Mwambie Haruni na wanawe, ‘Hivi ndivyo mtakavyowabariki Waisraeli. Waambieni
Chunguza Hesabu 6:23
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video