1
Marko 4:39-40
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Akaamka, akaukemea ule upepo, akayaambia yale mawimbi, “Uwe kimya! Tulia!” Ule upepo ukatulia, kukawa shwari kabisa. Isa akawaambia wanafunzi wake, “Kwa nini mnaogopa hivyo? Je, bado hamna imani?”
Linganisha
Chunguza Marko 4:39-40
2
Marko 4:41
Nao wakawa wameogopa sana, wakaulizana, “Ni nani huyu? Hata upepo na mawimbi vinamtii!”
Chunguza Marko 4:41
3
Marko 4:38
Isa alikuwa katika shetri, akiwa analala juu ya mto. Wanafunzi wake wakamwamsha, wakamwambia, “Mwalimu, hujali kama tunazama?”
Chunguza Marko 4:38
4
Marko 4:24
Naye akawaambia, “Kuweni waangalifu na yale mnayosikia. Kipimo kile mpimacho, ndicho mtakachopimiwa ninyi, hata na zaidi.
Chunguza Marko 4:24
5
Marko 4:26-27
Pia akawaambia, “Ufalme wa Mungu unafanana na mtu apandaye mbegu shambani. Baada yake kuzipanda, usiku na mchana, akiwa amelala au ameamka, mbegu huota na kukua pasipo yeye kujua ikuavyo.
Chunguza Marko 4:26-27
6
Marko 4:23
Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.”
Chunguza Marko 4:23
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video