1
Marko 3:35
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Mtu yeyote anayetenda mapenzi ya Mungu, huyo ndiye kaka yangu, na dada yangu, na mama yangu.”
Linganisha
Chunguza Marko 3:35
2
Marko 3:28-29
Amin, nawaambia, watu wataweza kusamehewa dhambi na kufuru zao zote; lakini yeyote anayemkufuru Roho Mtakatifu wa Mungu hatasamehewa kamwe, atakuwa na hatia ya dhambi ya milele.”
Chunguza Marko 3:28-29
3
Marko 3:24-25
Kama ufalme ukigawanyika dhidi yake wenyewe, ufalme huo hauwezi kusimama. Nayo nyumba ikigawanyika dhidi yake yenyewe, nyumba hiyo haiwezi kusimama.
Chunguza Marko 3:24-25
4
Marko 3:11
Kila mara pepo wachafu walipomwona, walianguka chini mbele yake na kupiga kelele wakisema, “Wewe ndiwe Mwana wa Mungu.”
Chunguza Marko 3:11
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video