1
Mika 7:18
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Ni nani Mungu kama wewe, ambaye anaachilia dhambi na kusamehe makosa ya mabaki ya urithi wake? Wewe huwi na hasira milele, bali unafurahia kuonesha rehema.
Linganisha
Chunguza Mika 7:18
2
Mika 7:7
Lakini mimi, namtazama Mwenyezi Mungu kwa matumaini, namngoja Mungu Mwokozi wangu; Mungu wangu atanisikia mimi.
Chunguza Mika 7:7
3
Mika 7:19
Utatuhurumia tena, utazikanyaga dhambi zetu chini ya nyayo zako, na kutupa maovu yetu yote katika vilindi vya bahari.
Chunguza Mika 7:19
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video