Mika 7:7
Mika 7:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini mimi namtumainia Mwenyezi-Mungu, namtazamia Mungu mwenye kuniokoa; Mungu wangu atanisikiliza.
Shirikisha
Soma Mika 7Mika 7:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini mimi, nitamtazamia BWANA; nitamngojea Mungu wa wokovu wangu; Mungu wangu atanisikia.
Shirikisha
Soma Mika 7