1
Mathayo 3:8
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Basi zaeni matunda yastahiliyo toba.
Linganisha
Chunguza Mathayo 3:8
2
Mathayo 3:17
Nayo sauti kutoka mbinguni ikasema, “Huyu ni Mwanangu mpendwa; ninapendezwa sana naye.”
Chunguza Mathayo 3:17
3
Mathayo 3:16
Naye Isa alipokwisha kubatizwa, mara alipotoka ndani ya maji, ghafula mbingu zikafunguka, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua na kutulia juu yake.
Chunguza Mathayo 3:16
4
Mathayo 3:11
“Mimi nawabatiza kwa maji kwa ajili ya toba. Lakini nyuma yangu anakuja yeye aliye na uwezo kuliko mimi, ambaye sistahili hata kuvichukua viatu vyake. Yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu wa Mungu na kwa moto.
Chunguza Mathayo 3:11
5
Mathayo 3:10
Hata sasa shoka limeshawekwa tayari katika shina la kila mti, basi kila mti usiozaa matunda mazuri, hukatwa na kutupwa motoni.
Chunguza Mathayo 3:10
6
Mathayo 3:3
Huyu ndiye yule aliyenenwa habari zake na nabii Isaya aliposema: “Sauti ya mtu aliaye nyikani, ‘Itengenezeni njia kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, yanyoosheni mapito yake.’”
Chunguza Mathayo 3:3
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video