1
Ayubu 22:21-22
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
“Mjue sana Mungu ili uwe na amani, ndipo mema yatakapokujia. Uyapokee mafundisho toka kinywani mwake, na maneno yake uyaweke moyoni mwako.
Linganisha
Chunguza Ayubu 22:21-22
2
Ayubu 22:27
Utamwomba yeye, naye atakusikia, nawe utazitimiza nadhiri zako.
Chunguza Ayubu 22:27
3
Ayubu 22:23
Ukimrudia Mwenyezi, utarudishwa upya: Ukiuondoa uovu uwe mbali na hema lako
Chunguza Ayubu 22:23
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video