1
Yakobo 5:16
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kwa hiyo, ungamianeni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana ili mpate kuponywa. Maombi ya mwenye haki yana nguvu, tena yanafaa sana.
Linganisha
Chunguza Yakobo 5:16
2
Yakobo 5:13
Je, mtu yeyote miongoni mwenu amepatwa na taabu? Basi inampasa aombe. Je, kuna yeyote mwenye furaha? Basi na aimbe nyimbo za kusifu.
Chunguza Yakobo 5:13
3
Yakobo 5:15
Kule kuomba kwa imani kutamwokoa huyo mgonjwa, naye Bwana Isa atamwinua, na kama ametenda dhambi, atasamehewa.
Chunguza Yakobo 5:15
4
Yakobo 5:14
Je, kuna yeyote miongoni mwenu aliye mgonjwa? Basi inampasa awaite wazee wa kundi la waumini wamwombee na kumpaka mafuta kwa Jina la Bwana Isa.
Chunguza Yakobo 5:14
5
Yakobo 5:20
hamna budi kujua kwamba yeyote amrejeshaye mwenye dhambi kutoka upotovu wake, ataiokoa roho ya huyo mwenye dhambi kutoka mauti na kufunika wingi wa dhambi.
Chunguza Yakobo 5:20
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video