Yakobo 5:13
Yakobo 5:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, pana mtu yeyote miongoni mwenu aliye na shida? Anapaswa kusali. Je, yuko mwenye furaha? Anapaswa kuimba nyimbo za sifa.
Shirikisha
Soma Yakobo 5Yakobo 5:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kuna mtu miongoni mwenu anayeteseka? Na aombe. Ana moyo wa kuchangamka? Na aimbe zaburi.
Shirikisha
Soma Yakobo 5Yakobo 5:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mtu wa kwenu amepatikana na mabaya? Na aombe. Ana moyo wa kuchangamka? Na aimbe zaburi.
Shirikisha
Soma Yakobo 5