1
Isaya 8:13
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni ndiye peke yake ikupasaye kumheshimu kuwa mtakatifu, ndiye peke yake utakayemwogopa, ndiye peke yake utakayemhofu
Linganisha
Chunguza Isaya 8:13
2
Isaya 8:12
“Usiite fitina kila kitu ambacho watu hawa hukiita fitina, usiogope kile wanachokiogopa, wala usikihofu.
Chunguza Isaya 8:12
3
Isaya 8:20
Kwa sheria na kwa ushuhuda! Kama hawatasema sawasawa na neno hili, hawana mwanga wa mapambazuko.
Chunguza Isaya 8:20
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video