1
Mwanzo 40:8
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Wakamjibu, “Sisi sote tumeota ndoto, lakini hakuna wa kuzifasiri.” Ndipo Yusufu akawaambia, “Je, kufasiri ndoto si ni kazi ya Mungu? Niambieni ndoto zenu.”
Linganisha
Chunguza Mwanzo 40:8
2
Mwanzo 40:23
Lakini mnyweshaji mkuu hakumkumbuka Yusufu, bali alimsahau.
Chunguza Mwanzo 40:23
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video