Mwanzo 40:8
Mwanzo 40:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakamjibu, “Tuna huzuni kwa kuwa tumeota ndoto na hakuna awezaye kututafsiria ndoto zetu.” Yosefu akawaambia, “Je, kutafsiri ndoto si kazi ya Mungu? Basi, niambieni ndoto zenu.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 40Mwanzo 40:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakamwambia, Tumeota ndoto wala hapana awezaye kuifasiri. Yusufu akawaambia, Nawaomba mniambie, kufasiri si ni kazi ya Mungu?
Shirikisha
Soma Mwanzo 40