1
Esta 1:1
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Hili ndilo lililotokea wakati wa utawala wa Mfalme Ahasuero, yule aliyetawala majimbo mia moja na ishirini na saba (127) kutoka Bara Hindi hadi Kushi.
Linganisha
Chunguza Esta 1:1
2
Esta 1:12
Lakini wakati watumishi walipotoa amri ya mfalme, Malkia Vashti alikataa kuja. Ndipo mfalme alighadhibika, na hasira yake ikawaka.
Chunguza Esta 1:12
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video