1
Kumbukumbu 4:29
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Lakini kama mtamtafuta Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, mtampata; kama mtamtafuta kwa moyo wote na kwa roho yote.
Linganisha
Chunguza Kumbukumbu 4:29
2
Kumbukumbu 4:31
Kwa maana Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, ni Mungu mwenye huruma, hatawaacha au kuwaangamiza wala kusahau agano alilofanya na baba zenu, alilowathibitishia kwa kiapo.
Chunguza Kumbukumbu 4:31
3
Kumbukumbu 4:24
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, ni moto ulao, Mungu mwenye wivu.
Chunguza Kumbukumbu 4:24
4
Kumbukumbu 4:9
Mwe waangalifu na makini ili msije mkasahau mambo ambayo mliyaona kwa macho yenu, wala kuyaacha yaondoke mioyoni mwenu siku zote za uhai wenu. Mwafundishe hayo watoto wenu na watoto wao baada yao.
Chunguza Kumbukumbu 4:9
5
Kumbukumbu 4:39
Kubalini na mweke moyoni leo kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Mungu mbinguni juu na duniani chini. Hakuna mwingine.
Chunguza Kumbukumbu 4:39
6
Kumbukumbu 4:7
Ni taifa gani jingine lililo kubwa kiasi cha kuwa na miungu yao iliyo karibu nao kama Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, alivyo karibu nasi wakati wowote tunapomwomba?
Chunguza Kumbukumbu 4:7
7
Kumbukumbu 4:30
Mnapokuwa katika dhiki, nayo mambo haya yote yamewatokea siku hizo, ndipo mtamrudia Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, na kumtii.
Chunguza Kumbukumbu 4:30
8
Kumbukumbu 4:2
Usiongeze wala usipunguze chochote ninachowaamuru ninyi, ila myashike maagizo ya Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, ambayo nawapa.
Chunguza Kumbukumbu 4:2
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video