1
Matendo 15:11
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Lakini sisi tunaamini ya kuwa tunaokolewa kwa neema ya Bwana wetu Isa Al-Masihi, kama wao wanavyookolewa.”
Linganisha
Chunguza Matendo 15:11
2
Matendo 15:8-9
Mungu, ajuaye mioyo ya watu, alionesha kwamba anawakubali kwa kuwapa Roho Mtakatifu wa Mungu kama vile alivyotupatia sisi. Mungu hakutofautisha kati yetu na wao, bali alitakasa mioyo yao kwa imani.
Chunguza Matendo 15:8-9
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video