1
2 Samweli 22:3
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Mungu wangu ni mwamba wangu, ninayemkimbilia, ngao yangu na pembe ya wokovu wangu. Yeye ni ngome yangu, kimbilio langu na mwokozi wangu, huniokoa kutoka kwa watu wenye jeuri.
Linganisha
Chunguza 2 Samweli 22:3
2
2 Samweli 22:31
“Kuhusu Mungu, njia yake ni kamilifu; neno la Mwenyezi Mungu halina dosari. Yeye ni ngao kwa wote wanaokimbilia kwake.
Chunguza 2 Samweli 22:31
3
2 Samweli 22:2
Akasema: “Mwenyezi Mungu ni mwamba wangu, ngome yangu na mwokozi wangu
Chunguza 2 Samweli 22:2
4
2 Samweli 22:33
Mungu ndiye anivikaye nguvu, na kufanya njia yangu kuwa kamilifu.
Chunguza 2 Samweli 22:33
5
2 Samweli 22:29
Wewe ni taa yangu, Ee Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu hulifanya giza langu kuwa mwanga.
Chunguza 2 Samweli 22:29
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video