Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 8:36
Tumaini Linaloishi: Hesabu kuelekea Pasaka
Siku 3
Giza linapokuzunguka, ulikabili namna gani? Kwa siku 3 zijazo, zama katika hadithi ya Pasaka na ugundue jinsi ya kushikilia tumaini pale unapojisikia kuachwa, mpweke au usiye wa thamani.
Mbona Mungu ananipenda?
Siku 5
Maswali: Ikija kwa Mungu, tuna maswali mengi sana. Kwa sababu ya tamaduni zetu, swali moja ambalo tutajipata tukijiuliza ni, "Mbona Mungu ananipenda?" au "Ni vipi atanipenda?" Mpango huu unashirikisha jumla ya vifungu 26 vya Biblia—Kila kifungu kikiongea juu ya upendo wa Mungu usiokuwa na shaka.
Mtazamo
Siku 7
Kuwa na mtazamo sahihi katika kila hali inaweza kuwa changamoto halisi. Mpango huu siku saba nitakupa mtazamo wa Biblia, pamoja na kifungu short kusoma kila siku. Kusoma kifungu, kuchukua muda wa kuangalia mwenyewe kwa uaminifu, na kuruhusu Mungu kusema katika hali yako.
BibleProject | Ufalme Unaoenda Kinyume na Matarijio / Sehemu ya 1 - Luka
Siku 20
Shirika la BibleProject liliandaa mwongozo wa Ufalme Unaoenda Kinyume na Matarijio Sehemu ya 1 kuwahimiza watu binafsi, vikundi vidogo na familia kusoma kitabu chote cha Luka kwa siku 20. Mwongozo huu unajumuisha video za katuni, muhtasari wa uchambuzi na maswali ya kutafakari ili kuwasaidia wahusika kumfahamu Yesu na kufuatilia mtiririko wa mawazo ya Luka pamoja na kuyaelewa mafunzo yake.
BibleProject | Tafakari ya Ujio wa Yesu
Siku 28
BibleProject ilibuni Tafakari ya Ujio wa Yesu ili kuhamasisha watu mmoja mmoja, vikundi vidogo vidogo, na familia kusherehekea majilio, au kuwasili kwa Yesu. Mwongozo huu wa wiki nne unashirikisha video za kikatuni, mihutasari mifupi, na maswali ya kutafakari ili kuwasaidia washiriki kuchunguza maana ya Biblia ya tumaini, amani, furaha, na upendo. Chagua mwongozo huu ili kujifunza jinsi maadili haya manne yamefika ulimwenguni kupitia kwa Yesu.