← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 18:18
Chuma Hunoa Chuma: Life-to-Life® Mentoring in the Old Testament
Siku 5
Unatamani "kufanya wanafunzi wanaofanya wanafunzi," kufuatana na Yesu katika Agizo Kuu (Mathayo 28:18-20)? Kama ndivyo, yawezekana umeona kwamba inaweza kuwa vigumu kupata watu wa mfano katika mchakato huu. Utafuata mfano gani? Je, kufanya wanafunzi inaonekanaje katika maisha ya kila siku? Hebu tuangalie katika Agano la Kale jinsi watu watano waume kwa wake walivyowekeza kwa wengine, Life-to-Life®.