← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Sam 12:24
Huzuni
Siku 5
Huzuni inaweza kutovumilika. Ingawaje marafiki na familia hutoa msaada na faraja, huwa tunahisi ni kana kwamba hakuna anayeelewa—kuwa tuko peke yetu kwa msiba au mateso. Katika mpango huu, utapata maandiko ya kukuliwaza ili kukusaidia kupata mtazamo kutoka kwa Mungu, hisi uhusiano wa Mkombozi wetu kwako, na ushuhudie nafuu kutokana na maumivu yako.