1
Marko MT. 1:35
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Hatta alfajiri na mapema sana, akaondoka, akatoka akaenda zake mahali pasipo watu akasali huko.
Porovnať
Preskúmať Marko MT. 1:35
2
Marko MT. 1:15
akineua, Wakati umetimia, na ufalme wa Muugu umekaribia; tubuni, kaiaminim injili.
Preskúmať Marko MT. 1:15
3
Marko MT. 1:10-11
Marra akapanda kutoka majini, akaona mbingu zinapasuka, na Roho, kwa mfano wa hua, akishuka juu yake; sauti ikatoka mbinguni, Wewe ndiwe Mwana wangu mpendwa, ndiwe unipendezae.
Preskúmať Marko MT. 1:10-11
4
Marko MT. 1:8
Mimi naliwabatizeni kwa maji; bali yeye atawabalizeni kwa Roho Mtakatifu.
Preskúmať Marko MT. 1:8
5
Marko MT. 1:17-18
Yesu akawaambia, Nifuateni, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu. Marra wakaziacha nyavu zao, wakamfuata.
Preskúmať Marko MT. 1:17-18
6
Marko MT. 1:22
Wakashangaa kwa mafundisho yake; kwa sababu alikuwa akiwafundisha kama mtu mwenye mamlaka wala si kama waandishi.
Preskúmať Marko MT. 1:22
Domov
Biblia
Plány
Videá