Msalaba Na PasakaSample
![Msalaba Na Pasaka](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F36080%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Moyo Uliounganishwa kwa Mungu
Katika utamaduni wa Kibiblia wa Agano Jipya, tohara ilikuwa ishara ya nje ya kujitolea na kuhusika kwa kidini. Kwa kweli, kulikuwa na kundi maalum la watu ambao wangemfuata Mtume Paulo kote alikokwenda, na wakati wowote angeanzisha kanisa wangejaribu kuingilia kati muundo wa imani wa kanisa. Kikundi hiki cha watu kilijulikana kama "Wayahudi".
Neno "Wayahudi" linatokana na kitenzi cha asili cha Kigiriki ioudaïzō kinachomaanisha "kuishi kulingana na desturi za Kiyahudi." Waamini wa Kiyahudi walikuwa ni kundi la watu ambao walikuwa bado wameshikamana na kanuni za kidini za Agano la Kale. Kwa sababu hii, wangejaribu kuwafanya Wakristo wapya wakubaliane na taratibu za kidini za nje ambazo ziliashiriwa na ishara kuu inayojulikana kama tohara. Waamini wa Kiyahudi walikuwa wakijaribu kupindua ujumbe wa msalaba. Hawakuwa na uhusiano na Yesu Kristo.
Lakini wakati wowote shughuli za kidini, hata kama ni za dhati kiasi kipi, zinapoinuliwa juu ya uhusiano, nguvu za Yesu Kristo hazipatikani tena katika maisha ya mwamini.
Moja ya hatari kubwa katika makanisa yetu leo ni kwa dini kuchukua nafasi ya uhusiano wa dhati na Mwokozi. Kwa dini, ninarejelea ufuasi wa nje wa mazoezi, kanuni au viwango katika jina la Mungu lakini bila ya Mungu.
Dini ni kitu chochote unachomfanyia Mungu ambacho hakitokani na moyo uliounganishwa na Mungu.
Sala: Bwana, ni rahisi kunaswa katika taratibu za dini na kupuuza malezi ya uhusiano nilionao nawe kupitia Mwanao Yesu Kristo. Tafadhali nikumbushe ninapojiondoa na kuingia kwenye mazoea. Nisaidie kupata muda kila siku wa kukaa ndani ya Kristo, na kufanya maombi kuwa sehemu ya kawaida ya kuwasiliana na Wewe. Katika jina la Kristo, amina.
Mtafute Yeye, Uwatumikie Wengine
Wakati Mariamu alichagua kuketi miguuni pa Yesu huku dada yake Martha akiwa na shughuli nyingi jikoni akiwahudumia wengine - Yesu aliwakumbusha dada hao kwamba Mariamu alikuwa amechagua “lililo bora zaidi.” Unapoendelea na siku yako, jaribu kutambua ni katika kiwango gani unahudumia wengine dhidi ya kutumia muda na Kristo. Ili kuwatumikia wengine vizuri, mheshimu Kristo kwanza katika moyo wako, akili, mawazo na hasa kwa wakati wako.
Scripture
About this Plan
![Msalaba Na Pasaka](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F36080%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Tunavaa misalaba shingoni mwetu, lakini tunapaswa kuitumiaje kwa maisha yetu? Kazi ya Yesu ina nguvu ya ajabu kwetu. Bila Ijumaa, hakungekuwa na Jumapili. Pasaka isingetokea bila msalaba. Gundua jinsi msalaba unavyounganamanisha katika maisha yako kupitia mpango huu wa usomaji wa ibada unapotayarisha moyo wako kwa Pasaka.
More
Related Plans
![Daily Bible Reading— February 2025, God’s Strengthening Word: Sharing God's Love](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F55144%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Daily Bible Reading— February 2025, God’s Strengthening Word: Sharing God's Love
![The Complete Devotional With Josh Norman](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54735%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
The Complete Devotional With Josh Norman
![IHCC Daily Bible Reading Plan - June](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F55463%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
IHCC Daily Bible Reading Plan - June
![Finding Wisdom in Proverbs](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F55462%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Finding Wisdom in Proverbs
30 Minute Daily Reading Plan
![TheLionWithin.Us: The Triple Crown of Spiritual Growth](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54628%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
TheLionWithin.Us: The Triple Crown of Spiritual Growth
![For the Least of These](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54952%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
For the Least of These
![Fear Not: God's Promise of Victory for Women Leaders](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F55254%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Fear Not: God's Promise of Victory for Women Leaders
![Cast Your Care](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F55459%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Cast Your Care
![Growth 360 Blueprint for Moms: Reflect, Refocus, and Activate Your Life for God’s Purpose](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54711%2F320x180.jpg&w=640&q=75)