Maombi Kwa Ajili Ya Umoja Katika Ndoa YakoSample
![Maombi Kwa Ajili Ya Umoja Katika Ndoa Yako](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F35286%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Viatu Vya Amani
Na kujitahidi kuuhifadhi umoja wa Roho katika kifungo cha amani. Waefeso 4:3
“Waume na wake wengi hufanya kazi kwa ushirikiano ili kushuhughulikia mahitaji ya kihisia, ya kiroho na mahitaji ya jumla ya familia zao. Inapendeza sana wanapoleta hali hiyo ya kufanya kazi pamoja hapo nyumbani na kuwa mfano kwa watoto wao na wengine walio katika eneo lao la ushawishi” Tony Evans
Bwana, umoja unahitaji juhudi. Kama sivyo, Paulo hangeliandika kile alichoandikia kwa kanisa la Efeso. Aliwaambia “wafanye juhudi zote kuuweka umoja wa Roho.” Utusamehe kama wanandoa tunapohisi kuwa tuna haki ya kupata umoja kutoka kwa wenzi wetu kwa sababu tu tumefunga ndoa. Nisamehe ninapotarajia mwenzi wangu kukubaliana na mimi ninapofikiria kuwa niko sahihi.
Umoja unahitaji juhudi. Juhudi huja kwa namna ya unyenyekevu, kusikiliza, neema, ufahamu, subira na pia hekima. Nipe sifa hizi kwa kiasi kikubwa zaidi ili nifanye sehemu yangu ya kuendelea kutunza umoja katika ndoa yetu. Mpe mwenzi wangu pia sawa nami na utusaidie sisi sote kujibiana kila mmoja kwa mwingine kwa amani wakati ambapo mwingine amepuuza mambo haya. Acha amani hiyo iwe ukumbusho kwamba umoja wetu ni chombo muhimu mikononi mwako ili kuendeleza ufalme wako na kuleta kusudi lako kwetu. Katika jina la Kristo, amina.
Scripture
About this Plan
![Maombi Kwa Ajili Ya Umoja Katika Ndoa Yako](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F35286%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Moja ya matamanio makubwa ya wanandoa ni umoja. Kwa kushangaza, hii imeonekana kuwa ya kuteleza sana. Mara nyingi, tofauti za maoni zinapoingia, matokeo yake ni migogoro, kukata tamaa na kuumia. Katika hali kama hizi, wenzi wa ndoa wanapaswa kusali jinsi gani? Katika kampeni yetu ya siku sita, Sala kwa ajili ya Umoja katika Ndoa Yako, wanandoa wataweza kudai umoja katika ndoa yao, wakifanya hivyo kwa kuomba kulingana na ukweli wa Maandiko. Kila sala inafanana na sehemu moja ya silaha kamili ya Mungu, iliyokusudiwa kuwatayarisha waume na wake kwa ajili ya umoja.
More
Related Plans
![In Her Image: Character Study of the Proverbs 31 Woman](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54110%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
In Her Image: Character Study of the Proverbs 31 Woman
![Core Beliefs: Strengthening Your Spiritual Foundation](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F55157%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Core Beliefs: Strengthening Your Spiritual Foundation
![Leading Well: 5 Choices for Christian Leaders a 5 - Day Plan by Michele C. Walker, Ph.D.](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54505%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Leading Well: 5 Choices for Christian Leaders a 5 - Day Plan by Michele C. Walker, Ph.D.
![Decide to Thrive: Youth Edition](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54591%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Decide to Thrive: Youth Edition
![Now Over Next](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F55059%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Now Over Next
![The Unseen God — Part Two](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F55069%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
The Unseen God — Part Two
![The Way to Follow Jesus According to the Gospel of Luke](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54844%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
The Way to Follow Jesus According to the Gospel of Luke
!["Attitude Adjustments": A 3-Day Parenting Plan](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54852%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
"Attitude Adjustments": A 3-Day Parenting Plan
![Ears to Hear (S3-E7)](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54165%2F320x180.jpg&w=640&q=75)
Ears to Hear (S3-E7)
![Multiplying the Gospel // Gospel X - Multiplying the Message](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fyvplans%2F54680%2F320x180.jpg&w=640&q=75)