BibleProject | Nyaraka za PauloSample
About this Plan
Mpango huu unakupeleka katika safari ya siku 60 ndani ya nyaraka za Paulo. Kila kitabu kinajumuisha video iliyotayarishwa kwa lengo mahsusi la kuboresha uelewa wako na ushiriki wako katika kusoma Neno la Mungu.
More