YouVersion Logo
Search Icon

Roho Mtakatifu - Tuna Uwezo Wa Kuwaka Moto Au La?Sample

Roho Mtakatifu - Tuna Uwezo Wa Kuwaka Moto Au La?

DAY 1 OF 7

Nguvu, uwezo wa muhubiri wa Injili ya ukristiano.

Nilipoanzishwa masomo ya injili, nilisoma Marko 16:8 ambapo wafuasi wa Yesu walikosa kuamini wakati Yesu aliporudi mbinguni. Kutoamini huu unapatikana katika Marko 16:11. Katika mistari yanayofuata, mstari wa 13, tunapata maneno yale yale, “Wafuasi walikosa kuamini.” Pia katika mstari wa 14, maneno yale manne – Walikosa kuamini. Kinachoshangaza ni kwamba, katika mstari wa 15, Yesu Kristo aliwatuma wafuasi wake waliokosa na kusema, ‘Endeni kote duniani na kuhubiri Injili.”

Kama ningekuwepo, niwie radhi ili niseme, ningemkaribia Yesu nyuma yake na kusema, “Kiongozi, Je, unajua kwamba wafuasi wako ambao umewapa kazi ya kueneza injili na Habari njema ya wokovu wamekosa imani? Hawataweza kazi ya kuhubiri injili.” Nina Imani ya kwamba, Yesu angegeuka na kusema kwa upole, “Bonnke, haujui kwamba ninayo siri.”

Hii ni siri gani? Katika mstari 20, ni nini kilichotokea kati ya mstari wa 14 na mstari wa 20? Katika mpangilio wa Matendo Ya Mitume 2 yalitendeka. Wafuasi wa Yesu Kristo walitoka katika upweke na kuingia katika nguvu na uwezo wa kutimiza kazi waliopewa na yesu. Matendo ya Mitunde 1:8 “Lakini mtapokea nguvu akishawajilia Roho Mtakatifu, nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu na Yudea yote na Samaria, hadi mwisho wa dunia.” Vile vile tunauwezo wa kutoka katika maisha ya uweke na kuingia katika nguvu na uwezo wa milele.

Scripture

Day 2

About this Plan

Roho Mtakatifu - Tuna Uwezo Wa Kuwaka Moto Au La?

Kuna nguvu ya kipekee, nguvu inayofufusha ndani yako. Mwinjilisti Reinhard Bonnke amekutolea maandishi ya nguvu kuhusu Roho Mtakatifu na Kanuni za Nguvu zake Roho Mtakatifu. Funzo hili la siku saba litapinga mawazo au fikra zako kuhusu Roho Mtakatifu na

More