1
Mattayo MT. 7:7
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Ombeni na mtapewa; tafuteni na mtaona; bisheni na mtafunguliwa
Comparar
Explorar Mattayo MT. 7:7
2
Mattayo MT. 7:8
kwa maaua killa aombae hupokea; nae atafutae huona, nae abishae alafunguliwa.
Explorar Mattayo MT. 7:8
3
Mattayo MT. 7:24
Bassi killa asikiae haya maneno yangu, na kuyafanya, nitamfananisha na mtu mwenye akili aliyejenga nyumba vake juu ya mwamba
Explorar Mattayo MT. 7:24
4
Mattayo MT. 7:12
Bassi yo yote mtakayo kutendewa na watu, nanyi mwatendee vivyo hivyo: maana hiyo ndiyo torati na manabii.
Explorar Mattayo MT. 7:12
5
Mattayo MT. 7:14
Bali njia ni nyembamba iendayo hatta uzima, na mlango wake ni mwembamba: nao waionao ni wachache.
Explorar Mattayo MT. 7:14
6
Mattayo MT. 7:13
Ingieni kwa kupita mlango ulio mwembamba: maana ujia iendayo hatta upotevu ni pana, na mlango wake mpana, na wengi waingiao kwa mlango huo.
Explorar Mattayo MT. 7:13
7
Mattayo MT. 7:11
Kama ninyi, bassi, mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema, je! si zaidi Baba yenu aliye mbinguni atawapa mema wamwombao?
Explorar Mattayo MT. 7:11
8
Mattayo MT. 7:1-2
MSIHUKUMU, illi msihukumiwe Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa: na kipimo kile mpimacho, ndicho mtakachopimiwa.
Explorar Mattayo MT. 7:1-2
9
Mattayo MT. 7:26
Na killa asikiae haya maneno yangu, asiyafanye, atafananishwa na mtu mpumbavu, alivejenga nyumba yake katika mchanga
Explorar Mattayo MT. 7:26
10
Mattayo MT. 7:3-4
Nawe, ya nini kukitazama kibanzi kilicho katika jicho la ndugu yako, na boriti iliyo katika jicho lako huiangalii? Au utamwambiaje ndugu yako, Niache niondoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! imo boriti ndani ya jicho lako?
Explorar Mattayo MT. 7:3-4
11
Mattayo MT. 7:15-16
Jihadharini na manabii wa uwongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa wa mwitu wakali. Mtawalambua kwa matunda yao. Je, watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?
Explorar Mattayo MT. 7:15-16
12
Mattayo MT. 7:17
Vivyo hivyo killa mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti uliopea huzaa matunda hafifu.
Explorar Mattayo MT. 7:17
13
Mattayo MT. 7:18
Mti mwema hauwezi kuzaa matunda hafifu, wala mti uliopea kuzaa matunda mazuri.
Explorar Mattayo MT. 7:18
14
Mattayo MT. 7:19
Killa mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni.
Explorar Mattayo MT. 7:19
Início
Bíblia
Planos
Vídeos