1
Zaburi 1:1-2
Swahili Revised Union Version
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wenye dhambi; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
Comparar
Explorar Zaburi 1:1-2
2
Zaburi 1:3
Naye atakuwa kama mti uliopandwa Kandokando ya vijito vya maji, Uzaao matunda yake kwa majira yake, Wala jani lake halinyauki; Na kila alitendalo litafanikiwa.
Explorar Zaburi 1:3
3
Zaburi 1:6
Kwa kuwa BWANA anaijua njia ya wenye haki, Bali njia ya wasio haki itapotea.
Explorar Zaburi 1:6
Início
Bíblia
Planos
Vídeos