1
Waefeso 6:12
Swahili Revised Union Version
Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
Comparar
Explorar Waefeso 6:12
2
Waefeso 6:18
kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo na kudumu katika kuwaombea watakatifu wote
Explorar Waefeso 6:18
3
Waefeso 6:11
Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani.
Explorar Waefeso 6:11
4
Waefeso 6:13
Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote, kusimama.
Explorar Waefeso 6:13
5
Waefeso 6:16-17
zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu. Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu
Explorar Waefeso 6:16-17
6
Waefeso 6:14-15
Basi simameni, mkiwa mmejifunga kweli viunoni, na kuvaa dirii ya haki kifuani, na kama viatu vilivyofungiwa miguuni mwenu muwe tayari kutangaza Injili ya amani
Explorar Waefeso 6:14-15
7
Waefeso 6:10
Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake.
Explorar Waefeso 6:10
8
Waefeso 6:2-3
Waheshimu baba yako na mama yako; hii ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi, Upate heri na kuishi siku nyingi katika dunia.
Explorar Waefeso 6:2-3
9
Waefeso 6:1
Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana, maana hii ndiyo haki.
Explorar Waefeso 6:1
Início
Bíblia
Planos
Vídeos