Logo YouVersion
BibliaPlanyNagrania wideo
Pobierz aplikację
Wybór języka
Ikona wyszukiwania

Popularne wersety biblijne z Mwanzo 13

1

Mwanzo 13:15

Neno

NEN

Nchi yote unayoiona nitakupa wewe na uzao wako hata milele.

Porównaj

Przeglądaj Mwanzo 13:15

2

Mwanzo 13:14

Neno

NEN

Baada ya Lutu kuondoka, BWANA akamwambia Abramu, “Ukiwa hapo ulipo, inua macho yako utazame kaskazini na kusini, mashariki na magharibi.

Porównaj

Przeglądaj Mwanzo 13:14

3

Mwanzo 13:16

Neno

NEN

Nitaufanya uzao wako uwe mwingi kama mavumbi ya nchi, hivyo ikiwa kuna yeyote awezaye kuhesabu mavumbi, basi uzao wako utahesabika.

Porównaj

Przeglądaj Mwanzo 13:16

4

Mwanzo 13:8

Neno

NEN

Hivyo Abramu akamwambia Lutu, “Pasiwe na ugomvi wowote kati yangu na wewe, wala kati ya wachungaji wangu na wako, kwa kuwa sisi ni ndugu.

Porównaj

Przeglądaj Mwanzo 13:8

5

Mwanzo 13:18

Neno

NEN

Basi Abramu akaondoa mahema yake, akaenda kuishi karibu na mialoni ya Mamre huko Hebroni. Naye akamjengea BWANA madhabahu huko.

Porównaj

Przeglądaj Mwanzo 13:18

6

Mwanzo 13:10

Neno

NEN

Lutu akatazama, akaona lile bonde lote la Yordani kuwa lilikuwa na maji tele, kama bustani ya BWANA, kama nchi ya Misri, kuelekea Soari. (Hii ilikuwa kabla BWANA hajaharibu Sodoma na Gomora.)

Porównaj

Przeglądaj Mwanzo 13:10

Poprzedni rozdział
Następny rozdział
YouVersion

Zachęcanie i wzywanie cię do codziennego szukania bliskości z Bogiem.

Misja

O YouVersion

Praca

Wolontariat

Blog

Prasa

Przydatne linki

Pomoc

Wesprzyj

Przekłady Biblii

Biblie audio

Języki Biblii

Werset dnia


Cyfrowa misja

Life.Church
Polski

©2026 Life.Church / YouVersion

Polityka prywatnościRegulamin
Program ujawniania luk w zabezpieczeniach
FacebookTwitterInstagramYoutubePinterest