1
Yn 20:21-22
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Basi Yesu akawaambia tena, Amani iwe kwenu; kama Baba alivyonituma mimi, mimi nami nawapeleka ninyi. Naye akiisha kusema hayo, akawavuvia, akawaambia, Pokeeni Roho Mtakatifu.
နှိုင်းယှဉ်
Yn 20:21-22ရှာဖွေလေ့လာလိုက်ပါ။
2
Yn 20:29
Yesu akamwambia, Wewe, kwa kuwa umeniona, umesadiki; wa heri wale wasioona, wakasadiki.
Yn 20:29ရှာဖွေလေ့လာလိုက်ပါ။
3
Yn 20:27-28
Kisha akamwambia Tomaso, Lete hapa kidole chako; uitazame mikono yangu; ulete na mkono wako uutie ubavuni mwangu, wala usiwe asiyeamini, bali aaminiye. Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu!
Yn 20:27-28ရှာဖွေလေ့လာလိုက်ပါ။
ပင်မစာမျက်နှာ
ကျမ်းစာ
အစီအစဉ်
ဗီဒီယို