1
Mwanzo 13:15
Biblia Habari Njema
Nchi hii yote unayoiona nitakupa wewe na wazawa wako iwe yenu milele.
Mampitaha
Mikaroka Mwanzo 13:15
2
Mwanzo 13:14
Baada ya Loti kujitenga na Abramu, Mwenyezi-Mungu akamwambia Abramu, “Angalia toka hapo ulipo utazame pande zote: Kaskazini, Kusini, Mashariki na Magharibi.
Mikaroka Mwanzo 13:14
3
Mwanzo 13:16
Wazawa wako nitawafanya wawe wengi wasiohesabika, kama vile mavumbi ya nchi yasivyoweza kuhesabika!
Mikaroka Mwanzo 13:16
4
Mwanzo 13:8
Basi, Abramu akamwambia Loti, “Kusiwe na mafarakano kati yetu wala kati ya wachungaji wako na wachungaji wangu, kwa sababu sisi ni jamaa moja.
Mikaroka Mwanzo 13:8
5
Mwanzo 13:18
Kwa hiyo, Abramu akangoa hema, akaenda kukaa karibu na mialoni ya Mamre kule Hebroni; huko akamjengea Mwenyezi-Mungu madhabahu.
Mikaroka Mwanzo 13:18
6
Mwanzo 13:10
Loti akatazama, akaliona bonde la mto Yordani, akaona kuwa lina maji ya kutosha kila mahali, kama bustani ya Mwenyezi-Mungu na kama nchi ya Misri upande wa Soari. (Hii ilikuwa kabla Mwenyezi-Mungu hajaiangamiza miji ya Sodoma na Gomora).
Mikaroka Mwanzo 13:10
Fidirana
Baiboly
Planina
Horonan-tsary