1
Mwanzo 10:8
Biblia Habari Njema
Kushi alikuwa baba yake Nimrodi ambaye alikuwa shujaa wa kwanza duniani.
Mampitaha
Mikaroka Mwanzo 10:8
2
Mwanzo 10:9
Alikuwa mwindaji shujaa mbele ya Mwenyezi-Mungu, ndiyo maana kuna msemo usemao, “Kama Nimrodi mwindaji shujaa mbele ya Mwenyezi-Mungu.”
Mikaroka Mwanzo 10:9
Fidirana
Baiboly
Planina
Horonan-tsary