1
Luka MT. 23:34
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Yesu akasema, Baba, uwasamehe, kwa maana hawajui watendalo. Wakagawanya nguo zake, wakipiga kura.
비교
Luka MT. 23:34 살펴보기
2
Luka MT. 23:43
Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo utakuwa pamoja nami Peponi.
Luka MT. 23:43 살펴보기
3
Luka MT. 23:42
Akamwambia Yesu, Bwana, unikumbuke ujapo katika ufalme wako.
Luka MT. 23:42 살펴보기
4
Luka MT. 23:46
Yesu akalia kwa sauti kuu, akasema, Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu: na alipokwisha kusema haya akatoa roho.
Luka MT. 23:46 살펴보기
5
Luka MT. 23:33
Hatta walipofika pahali paitwapo Kichwa, ndiko walikomsulibisha, na wale wakhalifu, mmoja mkono wa kuume, na mmoja mkono wa kushoto.
Luka MT. 23:33 살펴보기
6
Luka MT. 23:44-45
Ikapata kama saa a sita, pakawa giza juu ya inchi yote hatta saa a tissa, jua likipunguka: pazia ya hekalu ikapasuka katikati.
Luka MT. 23:44-45 살펴보기
7
Luka MT. 23:47
Akida alipoona lililokuwa, akamtukuza Mungu, akisema, Kwa kweli mtu huyu alikuwa mwenye haki.
Luka MT. 23:47 살펴보기
홈
성경
묵상
동영상