1
Luka MT. 18:1
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
AKAWAAMBIA na mfano ya kama imewapasa kumwomba Mungu siku zote wala wasikate tamaa
비교
Luka MT. 18:1 살펴보기
2
Luka MT. 18:7-8
Bassi Mungu je! hatawapatia haki wateule wake wanaomlilia mchana na usiku, nae ni mvumilivu kwao? Nawaambieni atawapatia haki upesi. Walakini Mwana wa Adamu atakapokuja, je! ataiona imani duniani?
Luka MT. 18:7-8 살펴보기
3
Luka MT. 18:27
Akasema, Yasiyowezekana kwa wana Adamu, yawezekana kwa Mungu.
Luka MT. 18:27 살펴보기
4
Luka MT. 18:4-5
Nae hakukubali muda wa siku kadha wa kadha; khalafu akasema moyoni mwake, Ijapokuwa mimi simchi Mungu wala sijali mtu; illakini kwa kuwa mjane huyu ameniudhi, nitampatia haki yake, asije akanidhoofisha kwa kunijia daima.
Luka MT. 18:4-5 살펴보기
5
Luka MT. 18:17
Amin, nawaambieni, Yeye yote asiyeukubali ufalme wa Mungu kama mtoto, hatauingia kamwe.
Luka MT. 18:17 살펴보기
6
Luka MT. 18:16
Bali Yesu akawaita waje kwake, akisema, Waacheni watoto waje kwangu, kwa maana watu kama hawo ufalme wa Mungu ni wao.
Luka MT. 18:16 살펴보기
7
Luka MT. 18:42
Yesu akamwambia, Upewe kuona imani yako imekuponya.
Luka MT. 18:42 살펴보기
8
Luka MT. 18:19
Yesu akamwambia, Mbona waniita mwema? Hakuna mwema illa mmoja ndiye Mungu.
Luka MT. 18:19 살펴보기
홈
성경
묵상
동영상