Yohana 11:25-26
Yohana 11:25-26 TKU
Yesu akamwambia, “Mimi ndiye huo ufufuo. Mimi ndiye uzima. Kila anayeniamini atakuwa na uzima, hata kama atakufa. Kila atakayeniamini hatakufa kiroho hata kama atakufa kimwili. Je! Martha, unaliamini jambo hili?”