1
Luka MT. 21:36
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Kwa hiyo kesheni killa wakati, mkiomba mpate kuhesabiwa kuwa mmestahili kuponea haya yote yatakayokuwa, na kusimama mahali penu mbele ya Mwana wa Adamu.
比較
Luka MT. 21:36で検索
2
Luka MT. 21:34
Bassi, jiangalieni, mioyo yenu isije ikalemewa na ulafi na ulevi, na masumbufu ya maisha haya
Luka MT. 21:34で検索
3
Luka MT. 21:19
Kwa subira yenu mtazipata robo zenu.
Luka MT. 21:19で検索
4
Luka MT. 21:15
Kwa maana mimi nitawapeni kinywa na hekima, ambayo watesi wenu hawataweza kuikana wala kushindana nayo.
Luka MT. 21:15で検索
5
Luka MT. 21:33
Mbingu na inchi zitapita; bali maneno yangu hayatapita kamwe.
Luka MT. 21:33で検索
6
Luka MT. 21:25-27
Na kutakuwa ishara katika jua na mwezi na nyota: na katika inchi dhiiki ya mataifa, wakishangaa kwa uvumi wa bahari na msukosuko wake; watu wakizimia kwa khofu, na kwa kutazamia yanayoujia ulimwengu; kwa maana nguvu za mbingu zitatikisika. Ndipo watakapomwona Mwana wa Adamu akija katika wingu kwa nguvu na utukufu mwingi.
Luka MT. 21:25-27で検索
7
Luka MT. 21:17
Mtachukizwa na watu wote kwa ajili ya jina langu.
Luka MT. 21:17で検索
8
Luka MT. 21:11
kutakuwa na matetemeko makubwa ya inchi mahali mahali, na njaa, na tauni. Kutakuwa na mambo ya kutisha, na ishara kuu kutoka mbinguni.
Luka MT. 21:11で検索
9
Luka MT. 21:9-10
Nanyi mtakaposikia khabari za vita na fitina msitishwe: maana haya hayana buddi kutukia kwanza, lakini mwisho wenyewe hauji marra moja. Kiisha akawaambia, Taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme
Luka MT. 21:9-10で検索
10
Luka MT. 21:25-26
Na kutakuwa ishara katika jua na mwezi na nyota: na katika inchi dhiiki ya mataifa, wakishangaa kwa uvumi wa bahari na msukosuko wake; watu wakizimia kwa khofu, na kwa kutazamia yanayoujia ulimwengu; kwa maana nguvu za mbingu zitatikisika.
Luka MT. 21:25-26で検索
11
Luka MT. 21:10
Kiisha akawaambia, Taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme
Luka MT. 21:10で検索
12
Luka MT. 21:8
Akasema, Jibadharini, msidanganyike; kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakinena, Mimi ndiye, na, Majira yamekaribia. Bassi, msiwafuate hawo.
Luka MT. 21:8で検索
ホーム
聖書
読書プラン
ビデオ