1
Mwanzo 11:6-7
BIBLIA KISWAHILI
RSUVDC
BWANA akasema, Tazama, watu hawa ni taifa moja, na lugha yao ni moja; na haya ndiyo wanayoanza kuyafanya, wala sasa hawatazuiliwa neno wanalokusudia kulifanya. Haya, na tushuke huko, tuwachafulie usemi wao ili wasisikilizane maneno wao kwa wao.
Lee anya n'etiti ihe abụọ
Nyochaa Mwanzo 11:6-7
2
Mwanzo 11:4
Wakasema, Haya, na tujijengee mji, na mnara, na kilele chake kifike mbinguni, tujifanyie jina; ili tusipate kutawanyika usoni pa nchi yote.
Nyochaa Mwanzo 11:4
3
Mwanzo 11:9
Kwa sababu hiyo jina lake likaitwa Babeli; maana hapo ndipo BWANA alipoichafua lugha ya dunia yote; na kutoka huko BWANA akawatawanya waende usoni pa nchi yote.
Nyochaa Mwanzo 11:9
4
Mwanzo 11:1
Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja.
Nyochaa Mwanzo 11:1
5
Mwanzo 11:5
BWANA akashuka ili auone mji na mnara waliokuwa wakiujenga wanadamu.
Nyochaa Mwanzo 11:5
6
Mwanzo 11:8
Basi BWANA akawatawanya kutoka huko waende usoni pa nchi yote; wakaacha kuujenga ule mji.
Nyochaa Mwanzo 11:8