1
Mwanzo 2:24
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
Ndiyo maana mwanamume humwacha baba yake na mama yake, akaambatana na mkewe, nao wawili huwa mwili mmoja.
Lee anya n'etiti ihe abụọ
Nyochaa Mwanzo 2:24
2
Mwanzo 2:18
Kisha Mwenyezi-Mungu akasema, “Si vizuri huyu mwanamume kuwa peke yake. Nitamfanyia msaidizi wa kumfaa.”
Nyochaa Mwanzo 2:18
3
Mwanzo 2:7
Basi, Mwenyezi-Mungu akamfanya mwanamume kwa mavumbi ya udongo, akampulizia puani pumzi ya uhai, na huyo mwanamume akawa kiumbe hai.
Nyochaa Mwanzo 2:7
4
Mwanzo 2:23
Ndipo huyo mwanamume akasema, “Naam! Huyu ni mfupa kutoka mifupa yangu, na nyama kutoka nyama yangu. Huyu ataitwa ‘Mwanamke’, kwa sababu ametolewa katika mwanamume.”
Nyochaa Mwanzo 2:23
5
Mwanzo 2:3
Mungu akaibariki siku ya saba na kuitakasa, kwa kuwa siku hiyo Mungu alipumzika baada ya kazi yake yote ya kuumba.
Nyochaa Mwanzo 2:3
6
Mwanzo 2:25
Huyo mwanamume na mkewe wote walikuwa uchi, lakini hawakuona haya.
Nyochaa Mwanzo 2:25
Ebe Mmepe Nke Mbụ Nke Ngwá
Akwụkwọ Nsọ
Atụmatụ Ihe Ogụgụ Gasị
Vidiyo Gasị