1
Mwanzo 4:7
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Ukifanya lililo sawa, je, hutakubalika? Lakini usipofanya lililo sawa, dhambi inakuvizia mlangoni mwako, ikikutamani wewe, lakini inakupasa uishinde.”
Lee anya n'etiti ihe abụọ
Nyochaa Mwanzo 4:7
2
Mwanzo 4:26
Naye Sethi akamzaa mwana, akamwita jina Enoshi. Wakati huo watu wakaanza kuliitia jina la BWANA.
Nyochaa Mwanzo 4:26
3
Mwanzo 4:9
Kisha BWANA akamuuliza Kaini, “Ndugu yako Abeli yuko wapi?” Akamjibu, “Sijui. Je, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?”
Nyochaa Mwanzo 4:9
4
Mwanzo 4:10
BWANA akasema, “Umefanya nini? Sikiliza! Damu ya ndugu yako inanililia mimi kutoka ardhini.
Nyochaa Mwanzo 4:10
5
Mwanzo 4:15
Lakini BWANA akamwambia, “La, sivyo! Ikiwa mtu yeyote atamuua Kaini, atalipizwa kisasi mara saba.” Kisha BWANA akamwekea Kaini alama ili yeyote angemwona asimuue.
Nyochaa Mwanzo 4:15
Ebe Mmepe Nke Mbụ Nke Ngwá
Akwụkwọ Nsọ
Atụmatụ Ihe Ogụgụ Gasị
Vidiyo Gasị