1
Mwanzo 29:20
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kwa hiyo Yakobo akatumika miaka saba ili kumpata Raheli, lakini ilionekana kwake kama siku chache tu kwa sababu ya upendo wake kwa Raheli.
Lee anya n'etiti ihe abụọ
Nyochaa Mwanzo 29:20
2
Mwanzo 29:31
Mwenyezi Mungu alipoona kwamba Lea hapendwi, akamwezesha kupata watoto, lakini Raheli alikuwa tasa.
Nyochaa Mwanzo 29:31
Ulo
Akwụkwọ Nsọ
Atụmatụ
Vidiyo