1
1 Mose 24:12
Swahili Roehl Bible 1937
Akaomba kwamba: Bwana, Mungu wa bwana wangu Aburahamu, nipe kufanikiwa leo! Naye Bwana wangu Aburahamu mhurumie!
Bandingkan
Telusuri 1 Mose 24:12
2
1 Mose 24:14
Nitakapomwambia kijana mmoja: Utue mtungi wako, ninywe! naye akisema: Haya! Unywe! Tena ngamia wako nao nitawanywesha, basi, awe yye, uliyemchagulia mtumishi wako Isaka! Nami ndipo, nitakapojua, ya kuwa umemhurumia bwana wangu.
Telusuri 1 Mose 24:14
3
1 Mose 24:67
Ndipo, Isaka alipomwingiza Rebeka hemani mwa mama yake Sara, akamwoa, akawa mkewe, naye akampenda. Ndivyo Isaka alivyotulizwa moyo kwa ajili ya kufa kwa mama yake.
Telusuri 1 Mose 24:67
4
1 Mose 24:60
Wakambariki Rebeka, wakamwambia: Ndugu yetu, na uwe mama ya maelfu na maelfu! Nao wa uzao wako na wayakalie malango ya adui zao!
Telusuri 1 Mose 24:60
5
1 Mose 24:3-4
nikuapishe kwake Bwana aliye Mungu wa mbingu na Mungu wa nchi kwamba: Usimposee mwanangu mwanamke miongoni mwa wana wa kike wa Wakanaani, ambao ninakaa katikati yao! Ila uende katika nchi, nilikozaliwa, kwenye ndugu zangu kumposea mwanangu Isaka mkewe.
Telusuri 1 Mose 24:3-4
Beranda
Alkitab
Rencana
Video