1
Mwa 25:23
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
BWANA akamwambia, Mataifa mawili yako tumboni mwako, Na kabila mbili za watu watafarakana tangu tumboni mwako. Kabila moja litakuwa hodari kuliko la pili, Na mkubwa atamtumikia mdogo.
Համեմատել
Ուսումնասիրեք Mwa 25:23
2
Mwa 25:30
Esau akamwambia Yakobo, Tafadhali, unipe hicho chakula chekundu nile, kwa kuwa ninazimia mimi. Kwa hiyo walimwita jina lake Edomu.
Ուսումնասիրեք Mwa 25:30
3
Mwa 25:21
Isaka akamwomba BWANA kwa ajili ya mke wake, maana alikuwa tasa. Naye BWANA akamwitikia, na Rebeka mkewe akachukua mimba.
Ուսումնասիրեք Mwa 25:21
4
Mwa 25:32-33
Esau akasema, Tazama, mimi ni karibu kufa, itanifaa nini haki hii ya uzazi? Yakobo akamwambia, Uniapie kwanza. Naye akamwapia, akamwuzia Yakobo haki yake ya mzaliwa wa kwanza.
Ուսումնասիրեք Mwa 25:32-33
5
Mwa 25:26
Baadaye ndugu yake akatoka, na mkono wake unamshika Esau kisigino. Akaitwa jina lake Yakobo. Isaka alikuwa mwenye miaka sitini mkewe alipowazaa.
Ուսումնասիրեք Mwa 25:26
6
Mwa 25:28
Basi Isaka akampenda Esau, kwa sababu alikula mawindo yake, na Rebeka akampenda Yakobo.
Ուսումնասիրեք Mwa 25:28
Գլխավոր
Աստվածաշունչ
Ծրագրեր
Տեսանյութեր