1
Mattayo MT. 16:24
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Wakati huo Yesu aliwaambia wanafunzi wake, Mtu atakae kuandama nyuma yangu, ajikane nafsi yake, ajitwike msalaba wake, anifuate.
Konpare
Eksplore Mattayo MT. 16:24
2
Mattayo MT. 16:18
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na jun ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; na milango ya kuzimu haitalishinda.
Eksplore Mattayo MT. 16:18
3
Mattayo MT. 16:19
Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litafungwa mbinguni: na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.
Eksplore Mattayo MT. 16:19
4
Mattayo MT. 16:25
Maana mtu atakae kuisalimisha roho yake, ataiangamiza; na mtu atakaeitoa roho yake kwa ajili yangu, ataiona.
Eksplore Mattayo MT. 16:25
5
Mattayo MT. 16:26
Kwa maana atafaidiwa mtu nini akiupata ulimwengu wote, na kupata khasara ya roho yake? au mtu atatoa nini badala ya roho yake?
Eksplore Mattayo MT. 16:26
6
Mattayo MT. 16:15-16
Akawaambia, Na ninyi mwaninena mimi kuwa nani? Simon Petro akajibu, akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hayi.
Eksplore Mattayo MT. 16:15-16
7
Mattayo MT. 16:17
Yesu akajibu, akamwambia, U kheri Simon bar Yunus; kwa kuwa nyama na damu hazikukufunulia haya, bali Baba yangu aliye mbinguni.
Eksplore Mattayo MT. 16:17
Akèy
Bib
Plan yo
Videyo