1
1 Mose 5:24
Swahili Roehl Bible 1937
Kwa kuwa Henoki alifanya mwenendo wa kushikana na Mungu, mara akawa hayuko tena, kwani Mungu alimchukua.
Compare
1 Mose 5:24 ખોજ કરો
2
1 Mose 5:22
Naye Henoki alifanya mwenendo wa kushikana na Mungu alipokwisha kumzaa Metusela akawapo miaka 300, akazaa wana wa kiume na wa kike.
1 Mose 5:22 ખોજ કરો
3
1 Mose 5:1
Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku hiyo Mungu alipomwumba mtu alimtengeneza kwa mfano wake Mungu
1 Mose 5:1 ખોજ કરો
4
1 Mose 5:2
akamwumba kuwa mume na mke, akawabariki, akawaita jina lao Adamu (Mtu) siku hiyo, walipoumbwa.
1 Mose 5:2 ખોજ કરો
હોમ
બાઇબલ
યોજનાઓ
વિડિઓઝ